2831; Foleni ya kushangaa.

By | October 1, 2022
2831; Foleni ya kushangaa. Siku iliyopita nikiwa barabarani nilikutana na foleni ndefu, ambayo ilituchukua muda. Kwa kuwa halikuwa eneo lililozoeleka kuwa na foleni, nilijiambia patakuwa na ajali mbele ambayo imeziba barabara. Foleni ikasogea, tulipofika sehemu inayosababisha foleni sikuamini macho yangu. Barabara ilikuwa nyeupe kabisa, ila kuna gari ilikuwa imeacha barabara

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz