#SheriaYaLeo (338/366); Kiangalie kifo chako.

By | October 4, 2022
#SheriaYaLeo (338/366); Kiangalie kifo chako. Wengi wetu huwa tunatumia muda mwingi wa maisha yetu kujaribu kukiepuka kifo. Kifo ni kitu ambacho hakuna namna tunaweza kukikwepa, hivyo tunapaswa kukifikiria muda wote. Kwa kuelewa ufupi wa maisha yetu hapa duniani, inatufanya tuishi kwa kusudi na kuyaharakishia malengo yetu. Kujifunza kukubaliana na uhalisia

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: SHERIA ZA SIKU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz