#SheriaYaLeo (339/366); Ulimwengu upo ndani yako.

By | October 5, 2022
#SheriaYaLeo (339/366); Ulimwengu upo ndani yako. Kama unataka kuelewa ukubwa na ukuu wa ulimwengu usio na ukomo, anza kwa kuangalia ubongo wako. Ndani ya ubongo wako kuna miunganiko ya seli zaidi ya milioni bilioni moja. Kama ingebidi uhesabu miunganiko hiyo, mmoja kwa kila sekunde, ingekuchukua miaka milioni 32 kukamilisha. Ukiangalia

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In