2837; Siyo kwa ajili yako, bali wao.

By | October 7, 2022
2837; Siyo kwa ajili yako, bali wao. Kitu kikubwa ninachoendelea kujifunza kwa kina kabisa kwenye safari ya mafanikio ni kwamba ili ufanikiwe, unapaswa kwenda kinyume kabisa na tabia zetu za asili kama binadamu. Tabia kama uvivu, wivu, chuki, ubinafsi na nyingine, ni sehemu ya asili yetu binadamu. Lakini ukiziendekeza hizo,

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz