2841; Uchawi na ushirikina.

By | October 11, 2022
2841; Uchawi na ushirikina. Hadithi tulizokuwa tunajifunza utotoni zilikuwa na maana kubwa ambayo haikuwa rahisi kwa akili zetu za utoto kung’amua. Moja ya hadithi hizo ni SIZITAKI MBICHI HIZI. Kama unakumbuka, sungura aliona ndizi na kuzipenda. Akaanza kuzirukia, lakini hakuzifikia. Akaruka na kuruka tena, lakini wapi. Baada ya kuhangaika sana

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz