#SheriaYaLeo (348/366); Jinsi ya kuiangalia dunia.

By | October 14, 2022
#SheriaYaLeo (348/366); Jinsi ya kuiangalia dunia. Watu wengi huwa wanaiangalia dunia kwa mazoea. Wanatumia yale waliyoyazoea kutafsiri yanayotokea na kufanya maamuzi. Wanapenda uhakika wa mazoea, hata kama hayaleti matokeo yaliyo bora. Wewe hupaswi kuwa hivyo, badala yake unapaswa kuiangalia dunia kama mchunguzi. Unapaswa kuiangalia dunia ukiwa tayari kujifunza na kujaribu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: SHERIA ZA SIKU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz