#SheriaYaLeo (350/366); Kitambue kifo kwa vitendo.

By | October 16, 2022
#SheriaYaLeo (350/366); Kitambue kifo kwa vitendo. Huwa tunakihofia kifo kwa sababu tunajiweka mbali nacho. Imekuwa ikielezwa kwamba dawa ya hofu ni kufanya kile unachohofia. Hivyo pia ndivyo ilivyo kwenye kifo, kama hutaki kukihofia, unapaswa kukitambua kifo kwa vitendo. Kujenga hali inayokukumbusha kifo kila wakati kiasi kwamba hukihofii tena. Moja ya

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: SHERIA ZA SIKU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz