2847; Kukaa kati.

By | October 17, 2022
2847; Kukaa kati. Dunia inaendeshwa kwa upacha, pande mbili zinazotofautiana. Usiku na mchana. Jinsia ya kike na ya kiume. Juu na chini. Hizo hali zinaeleweka na kutengana wazi. Huwa hazina katikati. Changamoto nyingi kwenye maisha yetu huwa zinatokana na kujaribu kukaa kati. Kushindwa kujitoa kweli kwenye upande mmoja wa kitu.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In