2894; Uko bize kufanya nini?

By | December 3, 2022
2894; Uko bize kufanya nini? Kwako rafiki yangu mpendwa ambaye kila wakati uko bize kiasi cha kukosa muda wa kuyafanyia kazi yake mapya unayojifunza. Pamoja na kuwa kwako bize, hakuna matokeo makubwa na ya tofauti unayozalisha. Na hapo ndipo swali langu linapokuja, uko bize kufanya nini? Kama mambo yanayokuweka bize

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz