2898; Muda upo.

By | December 7, 2022
2898; Muda upo. Kwako rafiki yangu mpendwa unayelalamika kwamba unachokosa ni muda ndiyo maana unashindwa kufanya yale unayopaswa kutafanya. Hii ni sababu au kisingizio ambacho kila mtu huwa anakitumia. Moja ya misingi yangu ni kwamba chochote kinachofanywa na wengi, hakiwezi kuwa sahihi kwako kupata matokeo bora. Hivyo basi, inapokuja kwenye

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In