2907; Ushauri.

By | December 16, 2022
2907; Ushauri. Kwako rafiki yangu mpendwa unayepoteza muda mwingi kutoa au kupokea ushauri. Nimewahi kusema huko nyuma usitoe ushauri kama hujaombwa na usipokee ushauri kama hujaomba. Wengi hawakulielewa hilo na waliona ni kama kauli tata tu. Lakini hiyo ni kauli yenye nguvu sana ambayo ukiifanyia kazi, utajiepusha na mengi sana

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz