2939; Mnatofautiana sana.

By | January 17, 2023
2939; Mnatofautiana sana. Rafiki yangu mpendwa, Wewe na wafanyakazi uliowaajiri kwenye biashara yako mnatofautiana sana. Mnatofautiana kimtazamo, wakati wewe unaangalia kujenga biashara ambayo itakuwa kubwa na yenye mafanikio, wao wanachoangalia ni kufanya kazi ya siku husika tu. Mnatofautiana kiajenda, wakati ajenda yako ni kuhakikisha wanafanya kazi kubwa kwa malipo unayoweza

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In