2940; Namba mbaya kwenye biashara.

By | January 18, 2023
2940; Namba mbaya kwenye biashara. Rafiki yangu mpendwa, Ipo namba ambayo ni mbaya sana kwenye biashara na ambayo unapaswa kuiepuka kama unataka kujenga biashara yenye mafanikio makubwa. Namba hiyo ni moja. Kuwa na kitu chochote kimoja kwenye biashara ni hatari kubwa. Inakuweka kwenye utegemezi mbaya na unaokuwa kikwazo kwa ukuaji.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In