2949; Upendeleo.

By | January 27, 2023
2949; Upendeleo.Rafiki yangu mpendwa,Miaka ya nyuma niliwahi kuongea na rafiki yangu ambaye alikuwa ameomba kazi ya udaktari kwenye shirika fulani kubwa. Alikuwa ananishirikisha baadhi ya maswali aliyoulizwa wakati wa usaili.Moja ya maswali aliyoulizwa ni iwapo kuna foleni ya watu wanasubiria kuingia kwa daktari na kuna mtu wa kawaida na kiongozi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz