3031; Muda wa kutosha kwenye kazi.

By | April 19, 2023
3031; Muda wa kutosha kwenye kazi.Rafiki yangu mpendwa,Tupo kwenye msimu wa HAPANA, kipindi cha kusema HAPANA kwa mengine yote isipokuwa kujenga biashara zetu kuu na kufanya uwekezaji.Lengo kuu la kuingia kwenye msimu huu wa HAPANA ni kuondokana na mambo ambayo huwa yanakuwa usumbufu kwetu na kupunguza muda wetu wa kuweka

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz