3084; Kila mtu anaongea, sisi tufanye.

By | June 11, 2023
3084; Kila mtu anaongea, sisi tufanye.Rafiki yangu mpendwa,Watu wanaongea sana,Wanaongea jinsi ambavyo wanataka kufanya makubwa.Wanaongea jinsi ambavyo wengi siyo waaminifu wala wachapa kazi.Wanaongea jinsi ambavyo mambo ni magumu na vikwazo vinavyowazuia.Wanaongea jinsi walivyoshindwa kutimiza yale waliyoahidi wao wenyewe.Lakini yote hayo wanayoongea hayana uzito kama ufanyaji.Kuongea kunafurahisha na kuridhisha, lakini hakuzalishi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz