3085; Hamasa na kufanya.

By | June 12, 2023
3085; Hamasa na kufanya.Rafiki yangu mpendwa,Kuna kitendawili kikali sana kwenye hamasa na kufanya kama ilivyo kwenye yai na kuku.Watu huwa wanatumia muda mwingi kujadiliana kipi kilianza kati ya yai au kuku.Inakuwa kitendawili kikali kwa sababu ukisema yai lilianza, utaulizwa lilitagwa na kuku yupi?Na ukisema kuku alianza, utaulizwa kutoka kwenye yai

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz