3090; Nipe namba, nikupe hadithi.

By | June 17, 2023
3090; Nipe namba, nikupe hadithi.Rafiki yangu mpendwa,Watu huwa wanapenda sana kuongea.Hiyo ni kwa sababu kupitia maongezi ni rahisi kuficha mambo ambayo wameshindwa kuyakamilisha.Ukiwa mtu wa kusikiliza kila sababu unazopewa na kuziamini, utapewa sababu nyingi sana ila kamwe hutapewa matokeo.Kama unataka watu waache kukupa sababu na wakupe matokeo, anza kwa kukataa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz