3101; Kushindwa mbele na nyuma.

By | June 28, 2023
3101; Kushindwa mbele na nyuma. Rafiki yangu mpendwa,Watu wengi huwa wanaona kushindwa ni kushindwa tu.Pale wanapopanga kufanya au kupata kitu fulani na wasikipate, hapo ndiyo wanaona wameshindwa.Lakini hilo siyo sahihi,Kushindwa huwa hakufanani.Kwa uhakika ni kuna aina mbili za kushindwa, ambazo ni kushindwa mbele na nyuma.Kushindwa nyuma ni kule ambapo kunasababishwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In

Prove your humanity


   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz