3104; Ishara moja, maneno matano. LAZIMA.

By | July 1, 2023
3104; Ishara moja, maneno matano. LAZIMA.Rafiki yangu mpendwa,Moja ya malengo makubwa tunayoyafanyia kazi kwenye biashara zetu ni kujenga wateja waaminifu.Wateja waaminifu ni wale wanaorudi tena kununua, wananunua kwa wingi na wanakupa wateja wa rufaa.Huwa inashangaza pale unapoona biashara inakazana kutafuta wateja wapya kila wakati, huku kukiwa hakuna wateja wanaorudi tena

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz