3115; Kufanya na matokeo.

By | July 12, 2023
3115; Kufanya na matokeo.Rafiki yangu mpendwa,Tumejifunza na kuzoea kwamba tunapofanya kitu, tunaona matokeo mara moja.Hivyo inapotokea tumefanya kitu na hatuoni matokeo, basi tunaona tulichofanya siyo sahihi na hivyo tunaacha kukifanya.Hayo ni mazoea mabaya ambayo tumejijengea na ambayo ni kikwazo kwetu kupata mafanikio makubwa.Ukweli muhimu unaopaswa kuujua kuhusu mafanikio ni kwamba

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz