3122; Kukosa tatizo ni tatizo.

By | July 19, 2023
3122; Kukosa tatizo ni tatizo.Rafiki yangu mpendwa,Kuna watu huwa wanajipa matumaini hewa na ambayo yamekuwa kikwazo kikubwa kwenye maisha yao.Moja ya matumaini hewa ambayo yamewapoteza wengi ni kusubiri mpaka matatizo waliyonayo yaishe ndiyo waweze kufanya yale wanayotaka kufanya.Wanachokuja kugundua ni kwamba pale tatizo moja linapotatuliwa, matatizo mengine yanazaliwa.Yaani hata tu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz