3129; Ni kodi unayotakiwa kulipa.

By | July 26, 2023
3129; Ni kodi unayotakiwa kulipa.Rafiki yangu mpendwa,Maisha yetu yamekuwa magumu na yenye changamoto mbalimbali kwa sababu ya matarajio yasiyokuwa sahihi ambayo tunakuwa nayo.Tunataka dunia iende kama tunavyotaka sisi wenyewe, wakati dunia haijui hata kama tupo hai.Dunia huwa inajiendesha kwa kanuni zake za asili, bila ya kujali nini sisi tunataka au

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In

Prove your humanity


   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz