Barua ya XIV; Kuhusu kujitenga na dunia.

By | August 4, 2023
Barua ya XIV; Kuhusu kujitenga na dunia.Rafiki yangu Mstoa,Inapokuja swala la kuishi kifalsafa, watu wengi wanaweza wasikuelewe.Unapochagua kuishi maisha ambayo ni ya tofauti na wengine, inaleta hali ya kushindwa kuelewana nao.Hilo linaweza kupelekea mtu kutamani kujitenga na dunia ili kuondokana na hali hiyo ya usumbufu.Lakini hilo siyo sahihi, kwa sababu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: FALSAFA YA USTOA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz