3244; Mara moja moja na kila mara.

By | November 18, 2023
3244; Mara moja moja na kila mara.Rafiki yangu mpendwa,Kwenye maisha kuna mambo ambayo mtu unaweza kujikusanya na kuyafanya mara moja moja.Yanaweza kuwa mambo makubwa na ya kishujaa, ambayo wengi hawawezi kuyafanya.Lakini bado ni mambo ambayo hayawezi kumpa mtu mafanikio makubwa.Hiyo ni kwa sababu mafanikio siyo zao la kufanya kitu mara

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz