3252; Kabla ya kujifunza kushinda.

By | November 26, 2023
3252; Kabla ya kujifunza kushinda.Rafiki yangu mpendwa,Kila mtu anataka kupata ushindi mkubwa kwenye maisha yake.Lakini wanaopata ushindi huo mkubwa na unaodumu huwa ni wachache.Wengi huwa wanapata ushindi ambao huwa unawapoteza kabisa.Ukweli ni kwamba kabla mtu hajajifunza kushinda, lazima kwanza ashindwe.Ni kupitia kushindwa ndiyo mtu anajifunza mambo mengi ya kuzingatia ili

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz