Author Archives: Dr. Makirita Amani

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz

1669; Kutengeneza ‘Chipsi’ Bila Kuvunja Mayai…

By | July 27, 2019

Kama unataka kupika chipsi mayai, lazima kwanza uvunje mayai. Sasa kama unataka kula chipsi na mayai lakini hutaki kuvunja mayai, tayari umeshashindwa kabla hata hujaanza. Inapokuja kwenye safari ya mafanikio, wapo watu ambao wanataka kufanikiwa, lakini hawataki maisha yao yatikisike. Yaani wanataka waendelee kuwa na marafiki walionao, waendelee kupata mapumziko (more…)

#TAFAKARI YA LEO; KAMA KUNA AMBACHO NI BORA ZAIDI…

By | July 27, 2019

“Indeed, if you find anything in human life better than justice, truth, self-control, courage—in short, anything better than the sufficiency of your own mind, which keeps you acting according to the demands of true reason and accepting what fate gives you outside of your own power of choice—I tell you, (more…)

1668; Fanya Kilicho Sahihi, Simamia Unachoamini…

By | July 26, 2019

Inapokuja kwenye safari ya mafanikio, kwenye kila eneo la maisha yetu, watu wengi wamekuwa wanakwama kwa sababu hawajui wanachofanya au wanachoamini. Hivyo watu hawa inakuwa rahisi kwao kufanya chochote, hata kama siyo sahihi, kwa sababu tu wanataka kupata kile wanachotaka. Na hapa wanatengeneza mambo ambayo baadaye yanakuwa kikwazo kwao. Kwa (more…)

#TAFAKARI YA LEO; KUTOKUFANYA CHOCHOTE…

By | July 26, 2019

“Often injustice lies in what you aren’t doing, not only in what you are doing.” —MARCUS AURELIUS, MEDITATIONS, 9.5 Hongera mwanamafanikio kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi bora na ya kipekee sana kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Kwa msingi wetu (more…)

1667; Tatizo Siyo Kuahirisha…

By | July 25, 2019

Tabia ya kuahirisha mambo ni moja ya tabia zinazowazuia watu wengi kufanikiwa. Kuweka malengo na mipango ya mafanikio ni rahisi sana, lakini inapofika wakati wa kutekeleza kile ulichopanga, ndipo tabia ya kuahirisha inapoingia na mtu kujiambia utafanya baadaye au utafanya ukiwa tayari. Sasa tumekuwa tunailaumu sana tabia ya kuahirisha mambo, (more…)

1666; Ukuta Unaokutenga Na Mafanikio Yako…

By | July 24, 2019

Nimekuwa napata bahati ya kuwajua watu wengi tangu walipokuwa wanaanzia chini kabisa kwenye safari yao ya mafanikio mpaka pale wanapopiga hatua zaidi. Na kwa kila ninayemjua ambaye ameanzia chini, wote mbeleni hukiri kwamba kabla hawajapiga hatua, walikuwa wanajizuia wao wenyewe. Mtu mmoja alikuwa hajaanza biashara kwa miaka mingi, akisema mahali (more…)

1665; Hasira Ni Usumbufu…

By | July 23, 2019

Kitu kimoja unachopaswa kujua na kukizingatia kila siku ni kwamba hasira ni usumbufu. Unapokuwa na hasira, unahamisha umakini wako kutoka kwenye mambo muhimu na kuupeleka kwenye mambo ambayo siyo muhimu. Na wale ambao wanataka kunufaika na wewe kwa namna fulani au wanaotaka ukosee, huwa wanatumia mbinu ya kuamsha hasira zako, (more…)

#TAFAKARI YA LEO; KUPOKEA NA KUTOA…

By | July 23, 2019

“Receive without pride, let go without attachment.” —MARCUS AURELIUS, MEDITATIONS, 8.33 Tumepata nafasi ya kuiona siku hii nyingine nzuri sana kwetu leo. Ni nafasi ya kipekee sana kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Kwa msingi wetu wa NIDHAMU, UADILIFU NA KUJITUMA pamoja na mwongozo wa (more…)