1664; Unachofanya Siyo Sahihi…
Kama huwezi kujivunia kwa kile unachofanya, kama huwezi kuwa na hamasa kubwa kwenye kile unachofanya na kuwa tayari kumshawishi yeyote anayehusika na kitu hicho akubaliane na wewe, basi unachofanya siyo sahihi kwako. Inashangaza jinsi ambavyo watu wanafanya kazi au biashara ambazo hawawezi kujivunia nazo. Wakiwa mbele ya wengine hawathubutu kutaja (more…)
