1629; Kama Fursa Haiwezi Kusubiri Miezi Sita Siyo Fursa Sahihi Kwako…
Fursa mpya zinazoibuka kila siku zimekuwa kikwazo kwa wengi kufanikiwa. Tulitegemea uwepo wa fursa nyingi uwe kichocheo cha wengi kufanikiwa, lakini matokeo yamekuwa kinyume. Kadiri fursa zinavyokuwa nyingi, ndivyo wachache sana wanafanikiwa. Na sababu kubwa ni kushindwa kuchagua fursa sahihi mtu kufanyia kazi na kusema hapana kwa fursa nyingine zinazoweza (more…)
