1634; Jali Sana Kuhusu Kile Unachofanya…
Chochote unachochagua kufanya, hakitakuwa rahisi. Ugumu utaanzia ndani yako mwenyewe, wengine watakupinga na kukukatisha tamaa na hata mazingira na hali hazitakupa urahisi wa kufanya. Sasa je unavukaje mambo haya yote na kupata kile unachotaka? Hapa ndipo unahitaji kitu kimoja muhimu sana kitakachokuvusha, kitu hicho ni kujali sana kuhusu kile unachofanya. (more…)
