1509; Acha Kupoteza Muda Wako Na Wa Wengine…
Unaomba ushauri utakuwaje mwandishi bora kabla hata hujakaa chini na kuandika. Au utauzaje kitabu chako kwa mafanikio wakati hata hujaandika sentensi moja ya kitabu hicho. Ni yale yale ya kuomba ushauri wa utafanikiwaje kwenye biashara wakati hujaanza hata biashara yenyewe, na wala huna mpango wa kuanza karibuni. Au kuomba ushauri (more…)
