1499; Panga Kufanya Kitu, Siyo Kutokufanya Kitu…
Mipango ya kutokufanya kitu, huwa inashindwa mara zote, kwa sababu sisi binadamu huwa ni vigumu sana kwetu kukaa bila ya kufanya kitu. Hivyo unapokuwa unapanga mambo yako, badala ya kupanga nini hutafanya, panga kwanza nini utafanya. Kwenye kila muda wako pangilia nini utafanya na hili litakupa kitu cha kufanyia kazi. (more…)
