1489; Rasilimali Nne Ulizonazo Ambazo Ukizitumia Vizuri Zitakupa Chochote Unachotaka…
Kuweza kupata chochote unachotaka ni kauli kubwa sana ambayo wachache sana wanaweza kuwa na imani nayo. Wengi wanaamini kuna ukomo ambao uko kwao, kwamba kuna vitu hawawezi kuvipata hata iweje. Lakini ukweli ni kwamba, kwa chochote unachojiambia huwezi kupata au kufikia, kuna mtu alianzia hapo ulipo wewe, na hata wakati (more…)
