Author Archives: Dr. Makirita Amani

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz

1474; Kinachoweza Kuwa Kinakuzuia Usipate Unachotaka…

By | January 13, 2019

Kuna wakati tunakazana sana kupata kile tunachotaka, lakini pamoja na kuweka juhudi kubwa, hatupati kile tunachotaka. Tunafanya kile ambacho tunapaswa kufanya, kile ambacho wengine wanaopata wanafanya, lakini sisi hatupati. Zipo sababu nyingi zinazopelekea hilo, lakini kipo kimoja kikubwa ambacho wengi huwa hawakijui. Kitu hicho ni kutokuwa tayari kupoteza kile ambacho (more…)

#TAFAKARI YA LEO; WIGO WA UDHIBITI WAKO…

By | January 13, 2019

“We control our reasoned choice and all acts that depend on that moral will. What’s not under our control are the body and any of its parts, our possessions, parents, siblings, children, or country—anything with which we might associate.” —EPICTETUS, DISCOURSES, 1.22.10 Hongera kwa nafasi hii nyingine nzuri sana tuliyoipata (more…)

1473; Kufanya Maamuzi Mengi Kwa Wakati Mmoja…

By | January 12, 2019

Kila tunapokuwa na maamuzi ambayo tunapaswa kuyafanya kwenye maisha yetu, hatukosi sababu ya kusogeza mbele, kwa sababu maamuzi yoyote ni magumu kufanya na kwa hali ya kawaida huwa akili zetu hazipendi vitu vigumu. Sasa kwa kusogeza kwetu maamuzi mbele, tunafika mahali na kukuta tuna maamuzi mengi ambayo tunapaswa kuyafanya na (more…)

#TAFAKARI YA LEO; NJIA YA KUELEKEA KWENYE UTULIVU…

By | January 12, 2019

“Keep this thought at the ready at daybreak, and through the day and night—there is only one path to happiness, and that is in giving up all outside of your sphere of choice, regarding nothing else as your possession, surrendering all else to God and Fortune.” —EPICTETUS, DISCOURSES, 4.4.39 Ni (more…)

1472; Fedha Na Uhuru…

By | January 11, 2019

Huwa tunafikiri ukishapata fedha ndiyo unakuwa huru. Lakini wengi wanaokazana kupata fedha ili wawe huru, wanagundua kadiri wanavyopata fedha zaidi ndivyo wanavyokosa uhuru zaidi. Hivyo fedha haileti uhuru, badala yake uhuru ndiyo unaleta fedha. Na hapa tunazungumzia ule uhuru wa kawaida wa maisha, na siyo uhuru wa fedha. Uhuru wa (more…)

1471; Geuza Hofu Kuwa Ukuaji…

By | January 10, 2019

Unapokutana na hali ya kutokuwa na uhakika, ambayo inajenga hofu ndani yako, hatua sahihi unayopaswa kuchukua ni kusonga mbele, kuendelea na uliyopanga kufanya na siyo kuacha. Unapaswa kugeuza kila hofu unayokutana nayo kuwa ukuaji, ifanye hofu iwe sababu ya wewe kupiga hatua zaidi. Kwa sababu kama wote tunavyojua, dawa ya (more…)

1470; Kucheza Akili Au Kucheza Karata…

By | January 9, 2019

Watu ambao hawana matumizi mazuri na akili zao, huwa wanatafuta njia ya kuzishughulisha lakini isiyo na maana. Kwa kuwa akili huwa haiwezi kukaa tupu bila ya kuwa na majukumu yoyote, usipoipa majukumu ya kufanyia kazi, yenyewe itatafuta majukumu ya kufanyia kazi. Usipokuwa na kitu muhimu unachofikiria, fikra hasi na hofu (more…)

#TAFAKARI YA LEO; KILICHO NDANI YA UWEZO WETU NA NJE YA UWEZO WETU…

By | January 9, 2019

“Some things are in our control, while others are not. We control our opinion, choice, desire, aversion, and, in a word, everything of our own doing. We don’t control our body, property, reputation, position, and, in a word, everything not of our own doing. Even more, the things in our (more…)