Author Archives: Dr. Makirita Amani

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz

1469; Huo Muda Utapita Tu…

By | January 8, 2019

Pale ambapo tunahitaji kufanya kitu kikubwa ambacho kinahitaji muda mrefu ili kuona matokeo yake, huwa tunasita na kuona muda tunaopaswa kuweka ni mrefu sana. Mfano ni pale mtu anapoona fursa ya kuingia kwenye biashara, lakini ambayo itamhitaji muda kujenga misingi ili iweze kumlipa baadaye, labda miaka mitatu ijayo. Kwa kuona (more…)

1468; Kinachokupa Msongo Wa Mawazo Siyo Mambo Mengi Uliyonayo Ya Kufanya…

By | January 7, 2019

Tunapokuwa na mambo mengi ya kufanya huku muda wetu ukiwa mfupi, huwa tunapata msongo wa mawazo. Huwa tunafikiri kinachotupa msongo ni yale mambo mengi tuliyonayo ya kufanya, lakini hilo siyo sahihi. Kinachotupa msongo siyo yale mambo mengi tuliyonayo ya kufanya, bali namna tunavyofikiri kuhusu mambo hayo. Kinachotupa msongo wa mawazo (more…)

#TAFAKARI YA LEO; KAZI SABA ZA AKILI…

By | January 7, 2019

“The proper work of the mind is the exercise of choice, refusal, yearning, repulsion, preparation, purpose, and assent. What then can pollute and clog the mind’s proper functioning? Nothing but its own corrupt decisions.” —EPICTETUS, DISCOURSES, 4.11.6–7 Hongera mwanamafanikio kwa fursa hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi nzuri (more…)

1467; Chuki Ni Kazi Ya Watu, Isikuzuie Kufanya Yako…

By | January 6, 2019

Kama unaacha kufanya kitu muhimu kwako kwa sababu hutaki watu wakuchukie, unajichelewesha kufanikiwa. Chuki ni kazi ya watu, na watu watakuchukia kwa sababu ambazo hazipo ndani ya uwezo wako. Wapo watu ambao watachagua kukuchukia kwa sababu tu umechagua kuishi maisha yako, na hakuna chochote utakachofanya ukaondoa chuki waliyonayo juu yako. (more…)

1466; Kilichojificha Nyuma Ya Sababu Ya Kutokufanya…

By | January 5, 2019

Kila mtu anapenda kupiga hatua kubwa kwenye maisha yake na wengi wanafika mpaka hatua ya kupanga kufanya makubwa. Lakini inapofika kwenye utekelezaji, wengi sana hushindwa kutekeleza. Wengi huishia kuja na sababu kwa nini hawawezi kutekeleza sasa. Na sababu zimekuwa hazikosekani, kuanzia hali binafsi, mazingira, hali ya hewa, hali ya uchumi (more…)

1465; Mti Unaozaa Matunda…

By | January 4, 2019

Pata picha una mche wako wa mwembe, mche ambao unataka uzae matunda haraka. Hivyo unapanda mche wako huo, lakini huoni matunda yakitoka haraka, unaona eneo ulilopanda siyo sahihi, unaung’oa na kwenda kuupanda sehemu nyingine, hapo pia matunda hayatoki haraka. Unaung’oa tena na kwenda kuotesha sehemu nyingine. Unaendelea na zoezi hilo (more…)

#TAFAKARI YA LEO; MAKUBWA MATATU MUHIMU….

By | January 4, 2019

“All you need are these: certainty of judgment in the present moment; action for the common good in the present moment; and an attitude of gratitude in the present moment for anything that comes your way.” —MARCUS AURELIUS, MEDITATIONS, 9.6 Hongera sana rafiki kwa nasafi hii nyingine nzuri sana ya (more…)