Author Archives: Dr. Makirita Amani

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz

1479; Kanuni Muhimu Ya Mafanikio Kwenye Biashara…

By | January 18, 2019

Kila kitu kwenye maisha kina kanuni zake, ndiyo maana watu wawili wanaweza kuwa wanafanya kitu kimoja, mmoja akafanikiwa sana huku mwingine akishindwa kabisa. Tofauti haipo kwenye kile watu wanachofanya, bali ipo kwenye namna wanavyofanya. Ukijua namna ambavyo watu waliofanikiwa wanafanya mambo yao, na ukafanya kama wanavyofanya, hata kama hutawafikia, lakini (more…)

💥 #TAFAKARI YA LEO; IONE DUNIA KAMA MSHAIRI NA KAMA MSANII…

By | January 18, 2019

“Pass through this brief patch of time in harmony with nature, and come to your final resting place gracefully, just as a ripened olive might drop, praising the earth that nourished it and grateful to the tree that gave it growth.” —MARCUS AURELIUS, MEDITATIONS, 4.48.2 Siku mpya, siku bora na (more…)

1478; Hakuna Atakayekulipa Kwa Unachojua…

By | January 17, 2019

Huwa tunachanganya sana ujuzi na kipato, ndiyo maana wengi wanaoongeza elimu zaidi wakitegemea kipato chao kiwe kikubwa zaidi huishia kukata tamaa pale kipato chao kinaposhindwa kuongezeka, au kuongezeka kwa kiwango kidogo sana. Kuongeza elimu au ujuzi hakukufanyi wewe ulipwe zaidi, kunakuongezea sifa tu. Kinachokufanya wewe ulipwe zaidi ni pale unapofanya (more…)

#TAFAKARI YA LEO; UNACHOHITAJI NI KUANZA….

By | January 17, 2019

“I am your teacher and you are learning in my school. My aim is to bring you to completion, unhindered, free from compulsive behavior, unrestrained, without shame, free, flourishing, and happy, looking to God in things great and small—your aim is to learn and diligently practice all these things. Why (more…)

1477; Siyo Kama Wengine Wanavyofanya, Bali Kama Ilivyo Bora Kwako Kufanya…

By | January 16, 2019

Mara nyingi ufanyaji wetu wa kazi huwa unatokana na namna wengine wanafanya. Ndiyo maana unapoenda eneo fulani la kazi au la biashara, unakuta aina ya huduma unazopata hazitofautiani sana. Wengi wanafanya hivi kwa sababu ni rahisi na haiumizi. Ni rahisi kufanya kile ambacho wengine wanafanya na imezoeleka, huhitaji kutoa maelezo (more…)

1476; Kujikubali Kama Ulivyo…

By | January 15, 2019

Hii ni kauli maarufu na inayotumiwa na wengi, kwamba unapaswa kujikubali kama ulivyo. Ni kauli nzuri yenye lengo la mtu kupata utulivu wa ndani, na kuacha kujilinganisha na wengine, maana hakuna unayeweza kulingana naye. Lakini pia kauli hii ina madhara yake isipotumiwa vizuri. Pale mtu anapotumia kauli hii kujiridhisha na (more…)

#TAFAKARI YA LEO; UTULIVU NI KUSIMAMIA UNACHOAMINI…

By | January 15, 2019

“Tranquility can’t be grasped except by those who have reached an unwavering and firm power of judgment—the rest constantly fall and rise in their decisions, wavering in a state of alternately rejecting and accepting things. What is the cause of this back and forth? It’s because nothing is clear and (more…)

1475; Vitu Visivyoonekana Kwenye Mafanikio Ya Wengine…

By | January 14, 2019

Kutumia hadithi za mafanikio ya wengine kama hamasa ya wewe kufanikiwa zaidi ni kuzuri. Lakini unapaswa kuangalia zaidi ya unachoona. Maana hadithi nyingi za mafanikio huanza na mtu alikuwa chini na baadaye yuko juu, amefanikiwa sana. Kuna vitu vingi sana hutaviona kwenye hadithi za mafanikio ya wengine, hivi ni vitu (more…)

#TAFAKARI YA LEO; KATA KAMBA ZINAZOVUTA AKILI YAKO….

By | January 14, 2019

“Understand at last that you have something in you more powerful and divine than what causes the bodily passions and pulls you like a mere puppet. What thoughts now occupy my mind? Is it not fear, suspicion, desire, or something like that?” —MARCUS AURELIUS, MEDITATIONS, 12.19 Hongera mwanamafanikio kwa siku (more…)