UKURASA WA 1270; Kukazana Kubaki Hapo Ulipo…
Tatizo letu sisi watu, huwa tunaanzia chini kabisa, tukijua hatuna kitu na hivyo hatuna cha kupoteza. Tunaweka juhudi kubwa sana, tunachukua hatari kubwa kwa sababu tunajua hakuna tunachoweza kupoteza. Juhudi hizo na hatari tunazochukua zinaanza kuzaa matunda. Tunaanza kupata vitu ambavyo hatukuwa navyo hapo awali. Na hapo ndipo matatizo makubwa (more…)
