Author Archives: Dr. Makirita Amani

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz

UKURASA WA 1103; Tatizo Lako Halihitaji Kutumia Chochote…

By | January 7, 2018

Tunaishi kwenye dunia ya kutumia, dunia ambayo kila tatizo au changamoto unayopitia, kuna kitu watu wanakushawishi utumie. Kwamba ukitumia kitu hicho basi matatizo yako yote yataisha na maisha yako yatakuwa kama unavyotaka. Kama uzito wako umepitiliza basi unahitaji kutumia dawa ya kupunguza uzito, ndivyo dunia inavyotuambia, na wengi wanakimbilia kutumia (more…)

UKURASA WA 1102; Vitu Vitatu Unavyopaswa Kuvipotezea Ili Kuishi Maisha Yako…

By | January 6, 2018

Kila mtu anaishi, lakini ni wachache sana ambao wanaishi maisha yao halisi, wengi wanaishi maisha ambayo siyo yao, maisha ambayo hawayafurahii, lakini inawalazimu kuyaishi, wakiamini yatawafanya kuwa bora. Lakini hayawafanyi kuwa bora, badala yake yanafanya maisha yao kuwa magumu zaidi na kukosa furaha na mafanikio. Kuna vitu vitatu unapaswa kuvipotezea (more…)

#TAFAKARI YA LEO; KITU HUNG’ARISHWA KWA KUSUGULIWA….

By | January 6, 2018

A gem cannot be polished without friction, nor a man perfected without trials. – Lucius Annaeus Seneca Hongera mwanamafanikio kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Leo tumepata nafasi nyingine nzuri kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Msingi wetu wa maisha ya mafanikio ni (more…)

UKURASA WA 1101; Uhuru, Uvumilivu Na Nguvu Ni Zao La Kitu Hichi Kimoja…

By | January 5, 2018

Watu wamekuwa wakisema fedha au utajiri siyo mzuri, kwa sababu wakiwaangalia baadhi ya watu wenye fedha na utajiri, wamekuwa watumwa kwa fedha na utajiri wao. Mtu anakuwa na fedha na mali nyingi, lakini bado haridhiki, anaona kuna kitu anakosa, anazidi kutaka zaidi na zaidi. Hiyo hali ya kutaka zaidi na (more…)

UKURASA WA 1100; Mtu Pekee Wa Kumwonea Aibu Ni Huyu…

By | January 4, 2018

Moja ya vitu vinavyowasukuma wengi kudanganya au kutafuta njia zisizo sahihi za kufanya mambo, ni kuwaonea wengine aibu. Kuona kama wengine wakijua ukweli ulivyo, basi watawadharau na kuona hawafai. Hivyo watu wanadanganya, au kuigiza mambo ili wengine wasiwachukulie kwa namna ya tofauti. Kwa kudanganya huko au kuigiza, watu kwa nje (more…)

#TAFAKARI YA LEO; SIYO UGUMU WA VITU, NI UGUMU WETU WENYEWE…

By | January 3, 2018

It’s not because things are difficult that we dare not venture. It’s because we dare not venture that they are difficult. – Lucius Annaeus Seneca Habari za asubuhi ya leo mwanamafanikio? Hongera kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi bora na ya kipekee sana kwetu kwenda kuweka (more…)

UKURASA WA 1099; Tofauti Ya Wabobezi Na Wachanga Kwenye Fani Mbalimbali…

By | January 3, 2018

Katika kila aina ya fani, kuna makundi mawili ya watu. Kuna watu ambao wamebobea kwenye fani hiyo, hawa ni wale ambao wameshajijengea majina kwenye kile wanachofanya. Hawa ni watu ambao watu wanawatafuta wanapokuwa na shida na wanatoa thamani kubwa. Pia kuna ambao ni wachanga, hawa ni watu ambao wanaingia kwenye (more…)