Author Archives: Dr. Makirita Amani

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz

UKURASA WA 1034; Ukishusha Viwango Umechagua Kushindwa…

By | October 30, 2017

Kila mtu katika wakati fulani wa maisha yake, ameshawahi kuwa na ndoto kubwa sana za maisha yake. Ukianza na zile za utoto kwamba ukiwa mkubwa unataka kuwa nani, zipo nyingi ambazo watu wanaendelea kuwa nazo. Wanakuwa na malengo na mipango ambayo ni mikubwa, yenye manufaa kwao na kwa wengine pia. (more…)

UKURASA WA 1033; Usiache Muda Wazi, Sawa Na Fedha Pia…

By | October 29, 2017

Ukishagundua udhaifu wako, hasa kwenye muda na fedha ambapo wengi tuna changamoto kubwa, unahitaji kuwa na mbinu ambao inazuia ule udhaifu wako usiwe kikwazo. Kwa mfano, unapokuwa na muda ambao hujaupangilia, lazima muda huo utapotea, na hutajua umepoteaje kwa sababu hukuwa umepangilia muda huo. Kwanza hutajua hata kama umepotea, kwa (more…)

UKURASA WA 1032; Unajua Kabisa Wewe Siyo Mti…

By | October 28, 2017

Tofauti kubwa kabisa ambayo sisi binadamu tunayo na viumbe wengine wowote ni utashi wetu, ambao unatuwezesha kufanya maamuzi sahihi kulingana na hali ambayo tunapitia. Hichi ni kitu kikubwa ambacho kinatupa sisi binadamu uwezo wa kutawala viumbe wengine. Lakini cha kushangaza, wengi wetu tumekuwa hatutumii uwezo huu mkubwa sana uliopo ndani (more…)

#UKURASA WA 1031; Jinsi Ya Kuwa Sumaku Ya Fedha….

By | October 27, 2017

Nenda kwenye kazi au biashara yoyote, kusanya watu 100 bila ya mpangilio maalumu, linganisha kipato wanachopata wote, utagundua kwamba wachache wana kipato kikubwa, huku wengi wakiwa na kipato kidogo na cha kawaida. Hili lipo kwenye kila eneo. Sasa wale wasiojua, wanachofanya wanawaangalia wachache wanaofanya vizuri, wanaotengeneza kipato kikubwa na kusema (more…)

#UKURASA WA 1030; Fanya kilicho sahihi mara zote….

By | October 26, 2017

Kuna nyakati kwenye maisha utajikuta njia panda, ambapo kuna mengi ya kufanya lakini hujui ufanye lipi. Na huenda ukawa unategemea ushauri kutoka kwa watu fulani ambao nao huwapati kwa ajili ya ushauri. Hapo ndipo wengi wanapokwama, wakiogopa kufanya maamuzi kwa kuhofia kukosea au kukosa fursa nzuri. Kitu muhimu kabisa katika (more…)