Author Archives: Dr. Makirita Amani

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz

UKURASA WA 1038; Upande Wa Pili Wa Shilingi…

By | November 3, 2017

Kama ilivyo kwamba shilingi ina pande mbili, ndivyo kila kitu kwenye maisha kilivyo. Kuna pande mbili za kila kitu tunachofanya au kupitia kwenye maisha. Na wakati mwingine pande hizo zinaweza kuwa zaidi ya mbili. Ni tabia yetu sisi binadamu kuangalia au kuegemea upande mmoja pekee. Tunapenda kuangalia ule upande ambao (more…)

#TAFAKARI YA LEO; HAKUNA ANAYEKUUMIZA, UNAJIUMIZA….

By | November 3, 2017

Reject your sense of injury and the injury itself disappears. – Marcus Aurelius NI siku nyingine nzuri sana rafiki yangu, siku mpya ya sisi kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Msingi wetu wa maisha ya mafanikio, ambao unatuwezesha kuwa na maisha bora ni NIDHAMU, UADILIFU NA (more…)

#KURASA_KUMI ZA KITABU LEO; Ubongo wako ni bora kuliko unavyofikiri.

By | November 2, 2017

KITABU; How to Think Like Leonardo da Vinci / Michael J. Gelb UKURASA; 17 – 26 Tumekuwa tunajichukulia kawaida na kuona uwezo wetu ni mdogo, lakini kwa uhalisia, uwezo wa kila mmoja ni mkubwa sana. Hapo ulipo, una uwezo wa kujifunza na hata ubunifu. Ni uwezo ambao hauna ukomo wowote (more…)

UKURASA WA 1037; Fanya Hata Kama Huna Uhakika…

By | November 2, 2017

Kitu kimoja ambacho sisi binadamu tunapenda ni uhakika. Tunapenda kufanya kitu ambacho tuna uhakika nacho. Ndiyo maana licha ya kuwepo kwa fursa nyingi na nafasi nyingi za kuchukua hatua, bado watu wengi wanashindwa kujua ni hatua gani wachukue. Kwa sababu hatua nyingi za kuchukua zinakuwa hazina uhakika kama ni sahihi (more…)

UKURASA WA 1036; Kujikera Na Kuwakera Wengine…

By | November 1, 2017

Tabia mbili kuu tulizonazo ambazo zinatuzuia kabisa kufanikiwa ni uvivu na kupenda kuwafurahisha wengine. Hatupendi kufanya vitu ambavyo ni vigumu, vitu ambavyo vinatupa changamoto na kutusukuma zaidi, vitu ambavyo tunaweza kushindwa. Lakini vitu hivyo ndiyo muhimu kwa mafanikio yetu, vitu hivyo ndiyo vyenye maana kubwa kwetu na ndiyo vyenye mchango (more…)

#TAFAKARI YA LEO; KUSHINDWA WEWE SIYO KUSHINDWA KILA MTU…

By | November 1, 2017

Because a thing seems difficult for you, do not think it impossible for anyone to accomplish. – Marcus Aurelius Hongera mwanamafanikio kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi bora na ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo bora sana. Msingi wetu wa maisha (more…)

UKURASA WA 1035; Maamuzi Yanapokuwa Magumu, Tunafanya Vitu Rahisi…

By | October 31, 2017

Hakuna kitu chenye changamoto kwa watu wengi kama kufanya maamuzi ambayo ni magumu. Inakuwa ni changamoto kwa sababu maamuzi yanapokuwa magumu, yanatutaka tuwe na taarifa nyingi, tutafiti na kuchunguza kwa kina ili kuweza kufikia maamuzi sahihi. Sasa hilo ni zoezi gumu, zoezi ambalo linasumbua akili na kuhitaji kazi. Hapa ndipo (more…)

BIASHARA LEO; Ni hatua zipi zitakazofuata kwenye biashara yako?

By | October 30, 2017

Kitu kigumu kwa wengi huwa kimekuwa ni kuingia kwenye biashara. Wengi wanapata shida wakati wa kuchagua biashara gani wafanye na wapate wapi mtaji. Wakishavuka hatua hiyo na kuweza kuanza biashara, wengi huishia hapo. Biashara zao zinabaki kwenye ngazi ile ile ambayo walianzia na hazikui zaidi. Wanaendesha biashara zao kwa mazoea (more…)