Author Archives: Dr. Makirita Amani

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz

UKURASA WA 720; Kitu Pekee Unachomiliki Na Unachoweza Kubadili Kwenye Maisha Yako…

By | December 20, 2016

Kwenye maisha huwa tunafikiri tuna umiliki mkubwa wa vitu, mpaka pale ambapo vinapotutoka ndipo tunagundua ya kwamba tulikuwa tunajidanganya. Vitu vingi tunavyodhani tunavimiliki wala hatuna umiliki wa moja kwa moja kwenye maisha yetu. Wapo walioamini kazi zao watadumu nazo mpaka walipoamka na kuambiwa huna kazi tena, ndipo walipoona ukweli kwamba (more…)

💥 #TAFAKARI YA LEO; MATOKEO….

By | December 19, 2016

Hongera rafiki kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa kwenye kile ambacho tumechagua kufanya. Muda uliopata leo huwezi kuupata tena, hivyo utumie vizuri sana. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu MATOKEO. Kile ambacho tunakiona kwenye maisha yetu ni matokeo ya vitu (more…)

UKURASA WA 719; Njia Ya Kuwa Bora Ni Ngumu, Lakini Nzuri Kusafiri…

By | December 19, 2016

Mara nyingi watu wanapoomba ushauri kuhusu mafanikio kwenye kazi, biashara na maisha kwa ujumla, huwa wanafikiri kuna muujiza fulani, au siri nzito ambayo kila mtu anaijua ila wao pekee ndiyo hawaijui. Wanapowaona wengine wakifurahia maisha, na kuweka juhudi kwenye yale waliyochagua kufanya, wanaamini watu hawa wameshaigundua siri ila wao tu (more…)

UKURASA WA 718; Maarifa, Ufahamu Na Fursa…

By | December 18, 2016

Hapo zamani, mababu zetu walizungukwa na madini ya kila aina, milima, maziwa na kila rasilimali muhimu. Lakini hawakujua thamani ya vitu hivyo mpaka pale walipokuja wakoloni na kuvichukua. Ndiyo maana utasikia mlima Kilimanjaro uligunduliwa na mzungu, sasa utajiuliza kuna watu wamekuwa wanakaa pembezoni mwa mlima ule miaka na miaka, ina (more…)

💥 #TAFAKARI YA LEO; ANATAKA KUKUUZIA NINI?

By | December 17, 2016

Hongera rafiki yangu kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Tumepata nafasi nyingine nzuri na ya kipekee kwenda kuweka juhudi kubwa kwenye kile ambacho tumechagua kufanya. Tumia muda wa leo vizuri rafiki. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu KUUZIWA. Kwa bahati mbaya au nzuri, kila mtu kuna kitu anataka kukuuzia, (more…)

UKURASA WA 717; Maamuzi Ya Kukurupuka…

By | December 17, 2016

Hakuna kitu kinatuzuia kufikia mafanikio makubwa kwenye maisha yetu kama maamuzi ya kukurupuka. Unakuta mtu unafanya maamuzi bila ya kufikiri kwa kina na mwishowe yanakuwa na madhara makubwa kwako. Wakati unafanya maamuzi hayo unaona kila kitu kipo sawa, lakini unapokuja kukaa chini na kufikiri kwa kina, unaona namna ulifanya maamuzi (more…)

💥 #TAFAKARI YA LEO; MAMBO YANAPOKWENDA VIZURI…

By | December 16, 2016

Hongera rafiki yangu kwa siku hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa kwenye kile ambacho tumechagua kufanya. Kumbuka hatima ya maisha yako ipo mikononi mwako. Ni uamuzi wako yawe bora au yawe hovyo. Asubuhi ya leo tutafakari MAMBO YANAPOKWENDA VIZURI, kwa sababi (more…)

💥 #TAFAKARI YA LEO; RAHISI KUSEMA, NGUMU KUFANYA….

By | December 15, 2016

Habari za asubuhi ya leo rafiki yangu? Hongera kwa nafasi hii nyingine nzuri sana ya leo. Ni nafasi ya kipekee kwetu kwenda kuweka juhudi kubwa ili kuweza kupata matokeo makubwa. Hakuna muda mwingine tunaoweza kuutumia zaidi ya leo, jana imepita, kesho bado haijafika. Asubuhi ya leo tutafakari kuhusu urahisi wa (more…)