UKURASA WA 715; Kuhusu Kazi Na Mapumziko…
Watu wengi wa kawaida utawakuta wakizungumzia kuhusu kazi na mapumziko, kwamba ni muda gani ambao wanafanya kazi na muda gani wa kupumzika. Wengi wamekuwa wakikazana kupata usawa wa kazi na mapumziko, wasifanye kazi sana ili pia wapate muda wa kutosha wa kupumzika. Wanaofanikiwa sana hawana kitu kama hiki, huwezi kumkuta (more…)
