Author Archives: Dr. Makirita Amani

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz

BIASHARA LEO; Jinsi Ya Kuifanya Biashara Yako Kuwa BRAND.

By | July 28, 2016

Brand ni lile jina ambalo biashara inakuwa imejijengea kwenye jamii na wateja wake. Ni ile sifa ya kipekee ambayo biashara inayo na inajulikana na wengine. Coca Cola ni brand, unaposikia tu neno coca cola unajua ni kinywaji bora, hata kama hujawahi kunywa. Samsung ni brand, unaposikia neno samsung unajua ni (more…)

UKURASA WA 575; Unajulikana Kwa Nini?

By | July 28, 2016

Kila mmoja wetu kuna kitu ambacho anajulikana kupitia kitu hiko. Pale watu wanapoongea kitu, wanatumia vitu fulani kutoka kwetu kama mifano. Tukianzia kwenye eneo lako la kazi, unajulikana kwa nini? Ni kipi ambacho watu wakifanya au kuzungumzia lazima wewe utajwe. Je najulikana kwa kumaliza majukumu yako kwa wakati na kwa (more…)

UKURASA WA 574; Angalia Msingi…

By | July 27, 2016

Kabla ya kujenga nyumba, tunajenga kwanza msingi. Ukitaka kujua uimara wa nyumba, hata kama bado haijakamilika, angalia uimara wa msingi. Msingi unatupa picha kubwa sana kuhusu nyumba. Msingi ukiwa siyo imara tunajua kabisa ya kwamba nyumba inayojengwa siyo imara, labda ni banda tu. Kadiri msingi unavyokuwa imara, unavyokwenda chini tuna (more…)

UKURASA WA 573; Kuna Watu…

By | July 26, 2016

Moja ya mahitaji muhimu ya kuweza kuishi maisha bora na yenye mafanikio, ni kuwajua watu. Binadamu tunaweza kujifunza mambo magumu sana na tukayajua, tunaweza kujifunza mashine ngumu na tukaweza kuzitumia, lakini kitu kimoja kinatushinda, kuweza kuwaelewa watu wengine. Ni vigumu kuwaelewa watu wengine kwa sababu watu wapo tofauti, kile wanachoonesha (more…)

UKURASA WA 572; Misingi Mitatu Ya Kujenga Ushirikiano Bora Na Wengine.

By | July 25, 2016

Hakuna mtu anayeweza kufanikiwa yeye mwenyewe, ndiyo maana mimi huwa nakataa sana neno SELF MADE MILLIONAIRE (yaani milionea aliyejitengeneza mwenyewe). Ukweli ni kwamba hata uwe na akili kiasi gani, hata uwe na malengo na mipango bora kiasi gani, hata uweke juhudi kubwa kiasi gani, huwezi kujitengeneza wewe mwenyewe na kuwa (more…)

FALSAFA MPYA YA MAISHA; Hivi Ndivyo Unavyowapa Watu Wengine Ruhusa Ya Kukuumiza Wewe.

By | July 24, 2016

Habari za leo mwanafalsafa mwenzangu? Unayaonaje maisha yako kadiri unavyojijengea falsafa hii mpya ya maisha? Je unaona yanakuwa bora au yanazidi kuwa hovyo? Kwa sababu lengo kuu la falsafa hii mpya ya maisha ni kutuwezesha kuwa na maisha bora, yenye furaha na mafanikio makubwa. Na kumbuka haya yote yanaanza na (more…)

UKURASA WA 570; Kazi Na Ajira…

By | July 23, 2016

Watu wengi wamekuwa wakichanganya kazi na ajira. Utasikia mtu akisema sina kazi ya kufanya, akimaanisha hajaajiriwa. Hii siyo sawa. Wacha tuliweke hili sawa ili tujue ni kipi hasa tunachohitaji. Ajira ni pale unapoambiwa nini ufanye. Mtu anakuajiri na kukupa majukumu yako ya kazi, ambayo unatakiwa kuyatekeleza. Hapo una ajira. Una (more…)

BIASHARA LEO; Ajiri Taratibu, Fukuza Haraka…

By | July 22, 2016

Mafanikio ya biashara yoyote yanatokana na falsafa ambayo biashara hiyo inaendeshwa nayo. Ukiangalia wafanyabiashara wengi wanaotokea kwenye nchi ambazo ni za kibepari, wana falsafa tofauti kabisa na wale wanaotokea kwenye nchi za kijamaa. Nchi za kibepari kama marekani, zina ushindani mkubwa sana wa kibiashara na hivyo watu kujali ubora wa (more…)

UKURASA WA 569; Kwa Nini Ni Muhimu Wewe Kubwa Bora Sana…

By | July 22, 2016

Kilichotufanya sisi binadamu kufika hapa tulipo, ni ubora wetu. Mwanasayansi Charles Darwin, katika kanuni yake mageuzi katika viumbe hai, alisema kwamba wale viumbe ambao wameweza kuyamudu mazingira yao vizuri, ndiyo walioweza kupona na kuzaliana. Kwa Kiingereza hii inaitwa ‘survival of the fittest’ Katika kanuni yake hii Darwin alisema kwamba viumbe (more…)