2300; Kama hujafika unakotaka kufika…
2300; Kama hujafika unakotaka kufika… Huna wakati wa anasa na mambo yasiyokuwa na umuhimu. Kila dakika unapaswa kuiweka kwenye juhudi za kukufikisha unakotaka kufika. Unapaswa kutumia kila fursa iliyopo mbele yako katika kufikia malengo yako. Ushauri pekee unaohitaji katika kipindi hicho ni ule wa kukufikisha unakotaka kufika. Sahau kuhusu mlinganyo (more…)
