1780; Swali Siyo Kushindwa, Bali Umefanya Nini Baada Ya Kushindwa…
Kila mtu huwa anashindwa kwenye maisha, kwenye vitu fulani anavyofanya. Hata kama mtu ana mafanikio au mamlaka kiasi gani, kuna mambo mengi anaweza kupanga na yasitokee kama alivyopanga, licha ya kuweka kila juhudi anayopaswa kuweka. Hivyo swali la wewe siyo kujiuliza kama utashindwa au la, bali kujiuliza umefanya nini baada (more…)
