Njia Nzuri Ya Kusema HAPANA Kistaarabu, Kwa Wale Ambao Hawawezi Kusema Hapana.

By | May 13, 2017
Moja ya tabia zinazotuzuia kufanikiwa, ni tabia yetu ya kusema ndiyo kwenye kila kitu ambacho tunaombwa na wengine. Katika makala ya mambo manne yanayokuzuia kufanikiwa (unaweza kuisoma kwa kubonyeza maandishi haya) nilieleza kwamba hujawa na roho mbaya vya kutosha. Nikikueleza umuhimu wa kusema hapana kwa yale mambo ambayo wengine wanakutaka

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: TABIA ZA MAFANIKIO

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz