#SheriaYaLeo (118/366); Epuka vitu vya bure.
#SheriaYaLeo (118/366); Epuka vitu vya bure. Epuka sana vitu unavyopewa na wengine bure, kwa sababu huwa vina mtego wa kukunasa uwe mtumwa kwao. Watu wanaokupa au kukufanyia vitu bure bila kudai malipo yoyote, baadaye huja na matakwa makubwa kwako ambayo yanazidi hata fedha ambayo ungewalipa. Wengine kwa kukusaidia watatumia hilo (more…)
