2509; Kwa nini hupendi unachofanya?
2509; Kwa nini hupendi unachofanya? Kutokupenda kazi au biashara unayofanya ni kikwazo kikubwa cha mafanikio yako. Huwezi kufanikiwa kwenye kitu ambacho hukipendi, hata kama kinalipa kiasi gani. Huenda wewe ni mmoja wa wale ambao wanafanya wasichopenda, leo nataka upate jawabu hapa ili kuchukua hatua sahihi. Mahali pa kuanzia ni kujua (more…)
