1973; Vichocheo Vitatu Kwa Watu Kuiba…
Kuna vitu vitatu ambavyo vimekuwa vinawachochea watu kuwa na tabia ya wizi. Hata wale ambao siyo wezi, hubadilika na kuwa na tabia hiyo pale vitu hivyo vitatu vinapokuwepo. Kwa kujua vitu hivi vitatu na kuvifanyia kazi, itakusaidia kuondoa au kukomesha tabia ya wizi kwenye eneo lolote lile. Kichocheo cha kwanza (more…)
