#TAFAKARI YA ASUBUHI; KUJINYIMA KUNAKUFANYA UWE BORA ZAIDI…

By | April 20, 2020

“For a person who leads a spiritual life, self-sacrifice brings a bliss that far transcends the pleasure of a person who lives by the self-indulgent satisfaction of his animal passions.” – Leo Tolstoy Kwa mtu anayeishi maisha ya kiroho, kujinyima kunamfanya awe bora na kujisikia vizuri kuliko yule ambaye anatimiza (more…)

1936; Anza Na Watu Sahihi…

By | April 19, 2020

Mafanikio yetu yanategemea sana ushirikiano wa watu wengine. Lakini watu hao tunaotegemea kushirikiana nao, wamekuwa ndiyo chanzo kikuu cha changamoto kwetu. Malalamiko juu ya wengine yamekuwa mengi. Wafanyabiashara wanawalalamikia wateja wao, kwa sababu hawaielewi thamani wanayoitoa na wanataka kwa bei rahisi kuliko wao wanavyouza. Waajiri wanawalalamikia wafanyakazi waliowaajiri kwa sababu (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; MATESO NI NJIA…

By | April 19, 2020

“Mankind has never achieved greatness but through suffering.” — F. ROBERT DE LAMENNAIS Mateso ni njia ya kuelekea kwenye ukuu. Hakuna mtu yeyote amewahi kufikia ukuu kwenye maisha yake bila kupitia mateso. Na kadiri mtu anavyotaka kupata makubwa kwenye maisha yake, ndivyo mateso yake yanakuwa makubwa zaidi. Chuma huwa inapitishwa (more…)

1935; Kosa Moja Halikuzuii Kufanikiwa, Bali Tabia Inayojengeka…

By | April 18, 2020

Kushinda au kushindwa kwenye maisha ni matokeo ya msimamo wa kile ambacho mtu anafanya kwenye maisha yako. Mfano kama mtu anafanya mazoezi kila siku bila kuacha, lazima atakuwa na afya bora. Kama mtu anaweka akiba kwenye kila kipato bila kuacha, na kisha kuwekeza aiba hiyo bila kuitumia, lazima atafikia utajiri (more…)

1934; Ubora Wa Kutisha Siyo Wa Kutosha…

By | April 17, 2020

Ili kupata mafanikio makubwa, unapaswa kufikia ubora wa kutisha na siyo ubora wa kutosha. Ubora wa kutosha ni pale unapoweza kufanya kile unachofanya vizuri kuliko wengine, lakini watu wanaweza kuficha ubora wako huo na usipate ushindi. Ubora wa kutisha ni pale unapoweza kufanya kile unachofanya vizuri sana kuliko wengine, kiasi (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; BORESHA IMANI YAKO…

By | April 17, 2020

“If you want to be quiet and strong, work and improve your faith.” – Leo Tolstoy Maisha hayajawahi kuwa nyoofu, Japo unapanga nini unataka, Na kuweka hatua za kuchukua ili kupata unachotaka, Na kufanyia kazi hatua hizo kama unavyopaswa, Siyo mara zote utapata unachotaka, Na hapo ndipo jaribu kuu. Wengi (more…)

#TAFAKARI YA ASUBUHI; MWILI LAZIMA UTII AKILI…

By | April 16, 2020

Seneca said, “Hold fast, then, to this sound and wholesome rule of life…The body should be treated more rigorously, that it may not be disobedient to the mind.” Ukiusikiliza sana mwili wako, hutaweza kufanya makubwa kwenye maisha yako. Kwa asili mwili huwa haupendi kuchoka, Hivyo unavyotaka kufanya kitu ambacho kitakuchosha, (more…)